HOME

TANGAZA NASII KWA BEI NAFUU KABISA AMBAPO NI SAWA NA BURE Tangaza biashara yako kukaribisha mwezi wa sikukuu  kwa bei rahisi kabisa, pia kwa wenye cover za nyimbo wanaweza kutangaza  nasii. mawasiliano piga 0692249270 / 0714036132 ;email phmarko3@gmail.com  

Advertisements

Ratiba Ya Ligi Daraja La Kwanza Hii Hapa, Je Coastal Union Kurejea Ligi kuu?..

Ligi Daraja La kwanza Mara baada ya mapumziko mafupi kwa ligi daraja la kwanza hapo jana tumeshuhudia mchezo mmoja wa ligi hiyo ambao umepigwa kunako uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam. Leo hii ligi hiyo inatarajiwa kuendelea kwa viwanja tofauti kutimua vumbi huku pambano kali likiwa ninlile litakalozikutanisha klabu za Coastal union dhidi ya … Continue reading Ratiba Ya Ligi Daraja La Kwanza Hii Hapa, Je Coastal Union Kurejea Ligi kuu?..

VIDEO: Fans go gaga over Shatta Wale’s crazy dance moves on stage

Self-acclaimed dancehall king of Ghana, Shatta Wale, is throwing a ‘crazy’ dance challenge to all his fans. The ‘Taking Over’ hit maker posted a video to his social media page in which he is captured displaying some ‘crazy’ dance moves on stage. He captioned the video: “#FreedomChallenge……… “This is a Funny...

South Korean president says willing to meet Kim Jong Un

South Korean President Moon Jae In is willing to meet North Korean counterpart Kim Jong Un “under the right conditions,” the South Korean leader said in Seoul on Wednesday. He would agree to a meeting if there were prospects for “tangible results,” Moon said at a press conference, adding that avoiding another war and a … Continue reading South Korean president says willing to meet Kim Jong Un

VIDEO: Sauti Sol ft Tiwa Savage – Girl Next Door

https://www.youtube.com/embed/Z1zvVUqWccE WATCH VIDEO ? The post VIDEO: Sauti Sol ft Tiwa Savage – Girl Next Door appeared first on YINGA BOY MEDIA. via VIDEO: Sauti Sol ft Tiwa Savage – Girl Next Door — YINGA BOY MEDIA

Picha: Christmas in African style

Dah! This is so amazing guys. Yaani watu ni wabunifu kiasi kikubwa hivi! Angalia hawa jamaa wawili ametulia ndani ya karai na kupiga pozi utadhani wapo Diani Beach au Nyali beach wakipunga upepo. Kama wafanyavyo watu wakiwa maendeo ya ufuoni mwa bahari wakila life na adabu..unatashangaa ujanja huo wa wazungu na watalii pia waafrika wanautambua … Continue reading Picha: Christmas in African style

FUNGA MWAKA KWA MSUKUMA/BONGE LA STORY

KUNA KIJANA MMOJA  ALIKUWA KWENYE MATEMBEZI YA KAWAIDA MSIMU WA SIKUKUU X-MASS MARA KIDOGO AKATOKEA BINTI MMOJA MREMBO SANA JAMAA ALIVOMCHEKI YULE BINTI AKAVUTIWA NA UREMBO WAKE MALA JAMAA AKAMUITA  AKISEMA “SAMAHANI DADA  EMBU NJOO  DADA AKAITIKIA AKISEMA  UNANIITA MIMI JAMAA AKASEMA EE! NAKUITA WEWE, YULE DADA HAKUONA VIBAYA AKASOGEA KUMSIKILIZA JAMAA ANACHOTAKA  KUMWAMBIA;  JAMAA … Continue reading FUNGA MWAKA KWA MSUKUMA/BONGE LA STORY

Black Bo-Rick Ross longtime Manager dead

Black Bo Rick Ross Rick Ross confirmed that his longtime manager, Black Bo, is dead. The Maybach Music Group chief confirmed the news of his manager’s passing during an appearance in Miami on Friday (November 8, 2017) night. “This is an extremely sexy party,” he told the crowd, XXL reported. “I know my dog Black … Continue reading Black Bo-Rick Ross longtime Manager dead

Kenya yasherekea siku ya uhuru

Kwa mara ya kwanza sherehe za maadhimisho ya tarehe 12 Disemba, siku kuu ambayo Kenya ilijipatia uhuru, zitafanyika katika uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi Kasarani, Jumanne Disemba 12 mwaka huu wa 2017. Wakenya wameanza kumiminika katika uwanja huo ulioko katika maeneo ya barabara kuu ya Thika, kilomita 10 kutoka katikati mwa mji mkuu … Continue reading Kenya yasherekea siku ya uhuru